The LORD Reigns!
So,katika post iliyopita ya kikoti niliwaahidi nitawarushia muonekano wa kikoti cha kitenge na jeans.Nikazama ndani ya stoo yetu ya vitambaa(Kuona stoo click MY FABRICS pembeni ya Home page) kuchagua rangi itakayonivutia nikatoka na kitenge #7 na hivi ndivyo kilivyotokelezea.
Pendeza namna hii na Margareth Tarimo.
MY DESIGN,MY FASHION,MY PASSION-Margareth Tarimo
Sina la ziada,picha zimeongea.Umevutiwa na matumizi ya kitenge?
Kuoda, whatsup +255 712 484508
Until then,maintain the classy look,LOVE GOD and people.....Bye.
No comments:
Post a Comment