Friday, May 23, 2014

Pata ladha ya Vitenge Kwenye Viatu Vyako Na TrendyDecentMe!

                          #ANKARA #KITENGE #VITENGE #AFRICANPRINTS #KENTE

Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuwa na nguvu na afya njema.

Una viatu vyako vya zamani na vipo imara kabisa ila ngozi yake imechakaa?Vilete
TrendyDecentMe!....Vikitoka,utavisahau.

Hata kama ni vipya halafu ghafla havikuvutii tena,ungependa muonekano tofauti,vilete,vitashughulikiwa,utavipenda sana.

Nilikuwa na viatu vyangu nilivyovipenda sana miaka ya 2011/12 bahati mbaya nikatembelea kwenye maji vikaharibika vikawa hivi...



Kwa sababu nisiyoitambua vyema,sikuvitupa ila nilivitelekeza somewhere.Katika kupekuapekua wiki hii nikavikuta.Kisigino chake kilikuwa kizuri na soli ipo vyema na hivi ndivyo kilivyobadilika


                                      Wow!



Nina mpango wa kuvaa pamoja na ile pochi yetu ya mkononi iliyotoka kwenye kitenge #13

                         


                                My Designs,My Fashion,My Passion by Margareth Tarimo


Unaweza kupendeza namna hii na TrendyDecentMe!....Margareth Tarimo Designs.

Kuwasiliana zaidi,whatsup only (+255) 712 484508.Contact zote zipo hapo kulia.

Kaeni mkao wa kupendeza mnoo!

Until next time,maintain the chicky,class look.....bye.

No comments:

Post a Comment