Friday, July 18, 2014

Zilizonivutia Leo a.k.a Inspiration...



Mungu ni mwema kila wakati na kila wakati Mungu ni mwema.

Kwa kifupi napenda kila kitu kuhusu designing iwe ku-design nguo,nyumba,web, yani napenda designing.It's fun.So,leo katika peruzi peruzi nimekutana na hizi.


Mimi na makoti tena?Kati ya vitu napenda kuvaa ni koti.Ni vizuri mtu ukawa na makoti ya rangi zote ili iwe rahisi kupendeza.Unaweza ukawa na nguo chache,lakini kama una makoti ya rangi zote,kila siku utaonekana kama una nguo mpya.Hiyo ni mojawapo ya siri ya kupendeza na kuonekana nadhifu kila siku.



 Simple dress suit poa sana kwa kiofisi zaidi.Nimependa mchanganyiko wa rangi namna zilivyopangiliwa.Classy.


























Uwii,yani hizi suruali huwa zinanichekesha kila nikiziona.Ushawahi kumuona mtoto mdogo wa kama mwaka na nusu hivi aliyeshusha mizigo yake kwenye pampers jinsi suruali yake inavyoshuka?Lol!..Lazima niwe na mojawapo ya hizi ya kitenge.

Nashona nini next?Stay tuned.Mambo mazuri yanapatikana TrendyDecentMe!
Bye.


No comments:

Post a Comment