Sunday, July 13, 2014

High-Low Ankara Suit By Margareth Tarimo




The LORD is good!

omg!Nimekuwa nakimbizana na majukumu yaliyonipita kimo.Familia, kazini, Mungu, TrendydecentMe!, blogging, Oda za watu, n.k yani nikitaja vyote utashangaa.Ila namshukuru sana Mungu maana ninamudu.

Nimemisi kuwepo humu kukuletea vitu motomoto.Wow!nimekumwagiaje picha sasa?Katika mionekano tofauti,uvaaji tofauti na pozi tofauti.Angalia vizuri hii High-Low Ankara Suit,jamani hiyo sketi ni nzurije live?Ina mashono fulani fulani ambayo kutokana na kitambaa kilivyo hayaonekani vizuri pichani ila 'live' yanaonekana na ina mvuto wa aina yake.

Pendeza namna hii na High-Low Ankara Suit By Margareth Tarimo.



















Nimekuwa nakulakula kwa wiki mbili mfululizo bila kufanya sit-ups sababu ya ubize.Naona ka kitambi kanaanza.Wiki ijayo,sit-ups za ukweli mpaka kucheka nishindwe.Say NO tu kitambi if u can.Nguo kukaa vizuri mwilini pia inachangia na kudhibiti maeneo kadhaa ya mwili,kula vyakula sahihi na 'portion control'













              MY DESIGNS,MY FASHION,MY PASSION-Margareth Tarimo


Nani kanivisha? Lebo hiyo hapo chini utaikuta kwenye nguo yako katika rangi ya zambarau, au nyeusi.




Umependa?
Kama kawaida tutafutane +255 712 484508.

Until next time,pozi hivyo hivyo while wearing classy stuffs.Bye.

No comments:

Post a Comment