#ANKARA #VITENGE #AFRICAN PRINTS #KENTE
Nina wallet yangu moja ninaipenda sana halafu imedumu ina miaka kama minne sasa kama si mitano.Haijachanika,ila hivi karibuni ilianza kuwa na rangi haieleweki kama ni nyekundu (kama nilivyoinunua) au ya kahawia.Nilipoichunguza nikagundua ni nzima kila kona,haijachanika isipokuwa rangi tu ndo imeanza kusumbua.
Mimi tena?Kama kawa.Balbu ikawaka kichwani na hivi ndivyo ilivyotokelezea...
No comments:
Post a Comment