Wednesday, June 11, 2014

Kitenge Ndani Ya Suruali





Be glorified Lord!

Namshukuru Mungu yani usiku wa kuamkia leo nimepata masaa sita (6) kamili ya kulala.Jana niliamua kabisa mapema kwamba ubize nitauweka pembeni,nikitoka kazini sitashona usiku nitalala masaa ya kutosha maana I was running out of energy.Nimeamka leo nina nguvu mnoo,nahisi dunia yote naweza kuibeba juu juu halafu nikakimbia riadha ya kama kilometa 200 hivi bila kuiangusha wala kupumzika..lol!

Unakumbuka kitenge #20 kutoka kwenye stoo yetu ya fabrics?..Angalia 'MY FABRICS' pembeni ya Home Page kuona vitambaa tulivyonavyo..

Kitenge chetu kimenogaje sasa?!..Suruali ya kitenge nayo taaamu!!..

Pendeza namna hii....Na Margareth Tarimo.














                       Unaweza ukavaa na koti,au la











                           MY DESIGN,MY FASHION,MY PASSION-Margareth Tarimo

Umependa?
Whatsup +255 712 484508 kutoa oda.

Until then,maintain the classy,chicky look, LOVE GOD and people.Bye.

No comments:

Post a Comment