Mko poa?
Nimemisi vitambaa vyetu vya Afrika maana siku mbili tatu hizi tulikuwa katika mitindo ya suti.Katika pitapita yangu stoo nikaondoka na kitambaa namba 52 ambacho ni batik nikaona nitokelezee katika mtindo wa gauni na koti,na mambo yakanoga kama ifuatavyo...
Tokelezea Classy,Trendy and Decent na Margareth Tarimo.
Leo kama wanaijeria unavaa mita tano sita mtu mmoja.Maana wale wanavaa nguo mtu mmoja mita nane kama shuka vile anavyoibeba.Hope kwao kuna hali ya hewa inayokubali.Uvae hapa Dar mita nane uone mziki wake.
Gauni tupu bila koti...Bonge la Peplum karibu mita nzima peplum tu..mwendo wa kinaijeria huo
Umependa muonekano huu?
Whatsup +255 712 484508
Mpaka wakati ujao,maintain the classy look.LOVE GOD ooo (iseme Kinaijeria).......Bye
No comments:
Post a Comment