#ANKARA #AFRICANPRINTS #VITENGE #CHITENGE #TENGE #KENTE
HE is an awesome God,I am humbled.Nawashukuru sana sana.
Kwa wadau wangu mnaoulizia hivi vitenge kama naviuza,jibu ni hapana siviuzi.Wewe njoo na kitenge chako ukipendacho,chagua mshono wowote njoo nao au chagua kutoka kwangu na utatoka nadhifu kabisa ON TIME.Kuna mishono mingi mno inakuja endelea kutembelea hapa na facebook page http://www.facebook.com/TrendydecentMe
Mshono wa leo umetoka katika kitenge chetu #1.Una haki ya kupendeza hivi,kuonekana nadhifu kiasi hiki kabisa.TrendyDecentMe! by Margareth Tarimo ndio anayeweza kukupendezesha kiasi hiki.
Big up kwa photographer wangu Shahidi Mwandembo uko vizuri ndio maana kazi zako zinatoka sana.Tupo pamoja mno.
Until then maintain the chicky,classy look.....bye
No comments:
Post a Comment