Thursday, May 8, 2014

Kitenge Nilichovaa Kitchen Party Ya Leo....



Nia yangu ilikuwa ni kushona sketi ya mistari inayoangalia upande mmoja ikimaliziwa na uzi wa rangi ya pink kwenye kila rinda kwa ajili ya kitchen party ya mwana team mwenzangu wa kusifu na kuabudu ambapo sare kama kawaida ikachaguliwa kutoka kwenye my favorite prints #African Prints #Kitenge#Chitenge#Tenge#Ankara....yeeey!! guess who is happy and proud to wear kitenge?..I am!

Sasa mimi na magazijuto tulikuwa best friend zamani sana.Sasa na haya mambo ya calculator ilibaki nukta iniumbue.Mahesabu yalipofanyika kwenye hii sketi,ilipoisha,kwani ilipita kwenye hips?Mbuta!...Hee!Ndio nimegundua mitindo inapatikana kwa kukosea mtindo fulani ambao uliuchagua awali.Pale pale ikapatikana akili ya kuivaa kama gauni na hivi ndivyo nilivyotokelezea.

Watu waliipendaje sasa?!......



                                               Hongera sana Happy

                                              waling'araje ....



                                          

                       Kulikuwa na baridi sana..otherwise ningeachana na shati ....

                             Ule mkanda niliovaa kiunoni mwanzo nimeuvaa kama tai...

                                        Mama zetu nao walinoga kivyao....





                   
Nazimia sana #African Prints #Vitenge #Ankara ,haswa vinapotendewa haki.

Kaeni mkao wa kusubiri kazi zangu nyingine...sijui niombe nikosee tena magazijuto?..

Until then,keep the classy look....
              

No comments:

Post a Comment