Monday, June 2, 2014

Kitenge Ndani Ya Suruali Na Margareth Tarimo


          #ANKARA #AFRICANPRINTS #VITENGE #TENGE #CHITENGE #KENTE

Mko poa?
Leo nimechezea kitenge #16 katika mahadhi  ya suruali kutoka kwenye stoo yetu ya vitambaa.Kwa wanaopenda suruali unaweza kupata muonekano tofauti kwa kutumia kitenge ukipendacho.Mambo haya mazuri yanapatikana kwa designer Margareth Tarimo.

Tokelezea na kitenge chako kitofauti tofauti in a  classy,chicky way!





                      Yep,unakuwa confident katika matembezi yako maana umevaa umependeza.







                      Kwa shati jeusi nayo poa kabisa




Ni kwa Margareth Tarimo ndipo unaweza kupata muonekano nadhifu wa kukupa ujasiri wa kuhudhuria popote iwe mikutano,vikao vya kikazi n.k ukiwa kwenye ladha nzuri tofauti.

Karibu sana.Mawasiliano yangu yote yapo hapo kulia.

Until then,maintain the chicky,classy look......Bye

No comments:

Post a Comment