Friday, May 30, 2014
Tokelezea Hivi Na TrendyDecentMe! By Margareth Tarimo
#ANKARA #VITENGE #AFRICANPRINTS #CHITENGE #TENGE #KENTE
Yeep!..Leo nimechezea kitenge chetu #3 kutoka kwenye collection ya vitambaa vilivyopo humu.Nimependa mpangilio wa kuanzia maua yenyewe na michoro ya kitambaa mpaka mshono jinsi nilivyopanga michoro na position ya maua.Utukufu kwa Mungu,I love this.
Sio siri,Ankara zipo poa sana,Ndio 'toy' nayopenda kuchezea mimi maana zina 'options' nyingi mno.Wabunifu wenzangu mnaelewa.Kaa mkao huo huo endelea kuchek humu.
Tokelezea namna hii na TrendyDecentMe!...Chicky & Classy!
Designed By Margareth Tarimo,dressed by TrendyDecentMe!..Kuona collection ya vitambaa iliyopo sasa,ingia kwenye page ya 'MY FABRICS' pembeni ya Home Page.
Nakushukuru sana Mungu,naomba uendelee kubariki kazi ya mikono yangu.
Ungependa kupendeza kihivi whatsup (+255) 712 484508
Until next time,maintain the chicky,classy look.......Bye.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment