Tuesday, June 3, 2014

Stoo Yazidi Kupendeza,Vimeingia Jana Jioni


         #ANKARA  #VITENGE  #KHANGA  #BATIK #AFRICANPRINTS  #KENTE

Wow!..Stoo yetu ya vitambaa inazidi kuwa ng'aring'ari.Inapendeza.Mate yananitokaje sasa?!..yani kila nikivishika nameza fundo la mate natamani kuvikata nishone.Napenda sana kushona,yani mnoo ni mojawapo ya hobby zangu.

Jana jioni nimepata mzigo mpyaa nilipoufungua, nikakuta vifuatavyo:































Yani ni mchanganyiko wa vitenge,khanga na batik.Nitashona usiku kucha jamani maana vinanitamanisha sana.Kaeni mkao wa kupendeza kabisaaa...Vitu vizuri vinakuja.

Kuona stoo yetu ina nini mpaka sasa,bonyeza 'MY FABRICS'  pembeni ya Home page.

Until then,maintain the chicky,classy look......Bye.

No comments:

Post a Comment