Blessed Be The Name Of The LORD!
Stoo yetu inang'ara sana na nimepata wakati mgumu kidogo kuchagua kitenge kipi nitumie kati ya vyoote nikaona #36 kitapendeza kwa staili niliyotaka so,nikakichezea kama ifuatavyo...
Haka kampasuo ka kufunga kako mbele na nyuma,na kwenye hiyo pochi.
MY DESIGN,MY FASHION,MY PASSION-Margareth Tarimo
Umependa?Karibu sana,mawasiliano yangu yote yapo kulia.
Nashona nini wakati ujao?..Hee!Utapendaje sasa?!..Mimi mwenyewe nipo excited maana nimeshaikata tayari nimeianza.
Until then,maintain the classy,chicky look.....Bye.
No comments:
Post a Comment