Monday, May 5, 2014

GoodMorning African Prints!..U r Famous


Project bado inaendelea.Changamoto kubwa ni muda mdogo uliopo kwa siku.Masaa 24 ghafla yamekuwa hayatoshi kabisaaa natamani siku ingekuwa na masaa 72 badala ya 24.Mambo yamekuwa milioni kwa siku wakati mimi ni yule yule mmoja.But,I am enjoying what I am doing so far...this is typical me.Iko damuni.

Wakati tunasubiri project kukamilika, tuangalie namna watu walivyojituma na 'African Prints' aka 'Kitenge'

Mimi ina ni-inspire sana...natumaini inafanya hivyo kwako pia...



                                                                        #Ankara

#African Prints
asante sana
#Chitenge



                                                                        #Kitenge


Vikiwa dukani..

 Endelea kutulia hivyo hivyo ...mambo mazuri hayataki haraka....

Until then..Keep the classy look!

No comments:

Post a Comment