Friday, May 2, 2014

Wakati Tunasubiri Kupendeza...Angalia Mishono Hii


Najua umekaa mkao wa kupendeza ukisubiri yatakayojiri na vile vitambaa nilivyowaonyesha.Sasa wakati unasubiri nikakutana na mishono mizuri mizuri nikaona na wewe usikose kuiona.

Vaa,pendeza mdada,mama,mwanamke.Wanaume na nyie kaeni mkao wa kupendeza baada ya muda nitawajulisha.Mnivumilie tu nina mambo mengi yamenizidi kimo kwa sasa ila sijawatenga kabisa.(ila nguo zenu mtihani kwelikweli)

Nani kasema eti mpaka upendeze uwe na mvuto ni mpaka uvae nusu uchi?BIG NO!..Trendy & Decent is the way for any 'chic' to go.Yes,Be Classy,not Trashy.

#No Trashy Zone#...............BONYEZA PICHA KUPATA UKUBWA KAMILI











                                        Safi kwa kipindi cha joto na jua kali

Hii mishono yooote nimeipenda.Wewe umeupenda upi?

Tukutane tena wakati ujao...Until then,keep the classy look....

No comments:

Post a Comment