Sipati picha vikishashonwa!.Fundi wangu ni mzuri sana ila yupoje bize sasa?!.Kiruu!nitachukua kimojawapo kati ya hivi nikikalie mwenyewe nishone maana ninajua,sema tu sijafanya hii kitu kwa muda mrefu kidogo.Nitakapomaliza nitawaonyesha nilivyoshona mwenyewe,kama si vyote lol!
Hivi hapa.Kwa kweli nimevipenda sana.Hakuna kukosea mashono.It has to be trendy & decent.Yeah,be classy.
No:2
No:3 #ANKARA
No:4 #AFRICAN PRINT
No:5
No:8
No:9
until next time.........keep the classy look...
First of all hongera sana bt pili umesoma saa ngapi haya maujuzi?? Tatu je vinauzwaa if yes how much?? Tano sikusomi somi somi i see new things each day from ministries to piano ro sewing!!!!! Naitaji kumuuliza Holy spirit lots questions abt u. Las bt not least tenge namba 3 lanihu sana na naitaji unishonee..... wanna b ur sec model aftr urself......huh.
ReplyDeleteMay our Lord Jesus keep blessing the work of ur hands! Tchao
Asante Malumbo.Namshukuru Mungu mimi napenda sana kujifunza na kujisomea vitu vinavyonivutia hata kwenye profile yangu utaona.Pia kuna vitu vingi sana ninafanya ikiwemo web designing ambayo imenisaidia kutengeneza hizi blog zangu.Ujuzi huu niliupata kwenye degree yangu ya kwanza.Ninachaji kutegemeana na ugumu ‘complexity’ ya design unayotaka.Kuhusu vitenge siviuzi,ukivutiwa na kazi zangu unakuja na kitenge unachokipenda mwenyewe.Kuhusu modelling nitumie picha ya muonekano wako full na nyingine half(top half).Nashukuru sana and Amen to the blessings,sifa na utukufu kwa BWANA aliyenipa vipaji vingi na kuniwezesha kuvitumia.
Delete