Sunday, May 18, 2014

Imekuwa Nguo Ya Bega Moja!


So,kile kitambaa chetu ambacho hakikuwa kitenge,nilichokiona nikakipenda cha jana,kimegeuka kuwa gauni la bega moja,safi kwa ajili ya shughuli za jioni kama umealikwa dinner n.k

Kukinogesha,nikatengeneza kapochi kadogo kwa mtindo 'soft' ambako kanaweza kuhifadhi vitu vidogo dogo kama simu,kadi,kitambaa cha mkononi n.k

             Picha zimepigwa jioni sana maana kesho nina ratiba nyingi naweza kukosa muda wa kupiga picha


                     Nikatupia na koti maana kuna baridi fulani ya kimya kimya...

                      Kapochi nimekapenda haka!

                      

Mimi na kushona tena?!..Hata gunia,sandarusi likinikalia vibaya naweza kulishona.
Coming up next,narudi kwenye flavor zangu za Vitenge.Nashona nini?
Stay tuned...

Until then,maintain the classy,chicky look...Bye.
             

No comments:

Post a Comment