#Kitenge #Vitenge #Ankara #Tenge #African Print
Kati ya vitenge vyote nilivyowaonyesha nikaona my next victim ni kitenge no:12...Nimependa kilivyo tu,nikaona sketi na pochi ya mkononi nikitengeneza kutoka kwenye hiyo rangi,patanoga.
Jana jioni nikachukua kitenge changu..nikaanza kazi...by saa saba usiku nikawa nimechoka ila almost done...
Jua lilikuwa linasumbuaje sasa?Lilikuwa halieleweki kabisa..Ndani ya sekunde kumi tu lishabadilika mara 50.Mara liwake,mara mawingu,mara manyunyu mara limewaka tena yani hata camera ikashindwa kujua ipozi na mwanga upi..lol
I thank my Lord God Almighty for the wonderful works of my hands.....
Also Big Up to Toyota Company....Mko poa kwenye maeneo mengi...From Cars to Sewing Machines...
(I wonder if Toyota make houses too....I would definetely buy one from them...)
(I wonder if Toyota make houses too....I would definetely buy one from them...)
UMEPENDA KAZI ZANGU?Ninatengeneza kwa oda.
Contacts zangu zipo hapa kulia na unaweza ukani-WhatsUp Only @ (+255) 712 484508.
Until then maintain the classy look...
No comments:
Post a Comment