omg I am so grateful!..I am Speechless!
Nakushukuru sana Mungu kwa baraka zako na ninawashukuru sana wateja wangu Mungu awabariki mnoo kwa response mliyoonyesha.Mlio-press oda nimeshaanza kuzifanyia kazi naomba nikiwakabidhi mpige picha niwaone mlivyotokelezea na nyie..lol!
Wale mlioko Marekani na Uingereza kilio chenu nimekisikia pia,naendelea kujipanga nijue tunafanikishaje nyie kupendeza kihivi!
Leo nimewaletea muonekano mwingine mpya..Mliokwishaweka oda naomba msibadili mawazo..lol.!
Cha maana wewe njoo na kitenge kingine tu utengeneze hivi..Maana mimi huwa ninavikata vyote kwanza,nikianza kushona ni kushona mwanzo mwisho!..I love what I do..this is soo me!Ilikuwa damuni siku nyingi nikawa nafanya on and off.Lakini now its on for good.Stay Still...
My Design,My Fashion,My Passion
I am going to invest more of my time in this!!
Kwa wale msiofahamu bado,ninatengeneza kwa oda.Mawasiliano yangu yote yapo kulia hapo.Unaweza ukani-WhatsUp Only @ (+255) 712 484508
Nashona nini wakati ujao?...utapenda...
Until then,maintain the classy,chicky look......
No comments:
Post a Comment