Namshukuru sana Mungu maana pamoja na ubize wote nilionao,ninapata nguvu ya kukuletea mambo kama haya na kukupendezesha.Kweli nguvu nilizonazo ni 'beyond normal' kwa hiyo narudi palepale Mungu nakushukuru sana.
So,nilizama katika stoo yetu ya vitambaa nikajisikia kuondoka na vitambaa vya suti viwili #44 inaitwa 'Indigo-Blue' na #45 cha Black.Kuona stoo yetu ina nini click MY FABRICS pembeni ya Home hapo juu.
Nikavikalia kwa masaa kadhaa na hivi ndivyo vilivyotokelezea.
Pendeza namna hii na Margareth Tarimo and Yes,Classy.
The left side of the dress suit
The right side of the dress suit
The Back.
The bottom
MY DESIGN,MY FASHION,MY PASSION-Margareth Tarimo
Yani ndio kulikua kumekucha asubuhi ikabidi nifanye photoshooting wakati nimelala saa nane kasoro usiku wa manane na baada ya hapo ni kazini.Lakini namshukuru Mungu nimeamka nina nguvu kabisa,so fresh.
Vitu vizuri vinakuja,kaa mkao wa kupendeza.
Umependa muonekano huu na ungependa kupendeza hivi?
Whatsup +255 712 484508
Until then,maintain the chicky,classy look,LOVE GOD.....Bye.
No comments:
Post a Comment