Friday, June 20, 2014

Stoo Ng'aring'ari!Vitambaa Zaidi Vimeingia



Vitambaa vichache vimeingia leohii vikiwa ni mchanganyiko wa vitenge,suti,lace na vile vya kuvutika(lycra).Uwii,sijawahi shona nguo ya kuvutika nina hamu ya kuichezea.Vitambaa vya suti ni wow!..Napenda sana kuvichezea maana vinakubali sana mashono.Kati ya vitambaa vitiifu kwangu mimi ni vya suti.

Stoo ng'aringari!

























Sipati picha nguo nitakazotoa kutoka kwenye vitambaa hivi!..mate yananichuruzika,nina hamu ya kuvikata,kuvishona.
Kaa mkao wa kuona mambo mazuri.
Unti then,maintain the classy look.....Bye.


No comments:

Post a Comment