Kuna wakati mtu unajisikia kuvaa 'casual'...No formal look.
Unaweza ukapigilia kitenge chako namna yoyote ambayo wewe mwenyewe utakuwa 'comfortable' na umejisitiri.Unaweza ukavaa kasuruali ka kitenge na ukapendeza.
Leo sikuwa na mudi ya masketi,magauni au whatever.Mizunguko na vishughuli nilivyokuwa navyo pamoja na hali ya hewa,vilinilizimu kuvaa hivi na yes,nimepata compliments za kutosha na wamependa muonekano huu.Baada ya hapo mie huyoo na shughuli zangu.
Pata muonekano huu na Margareth Tarimo.
Mummy yao nani huyu?
Hint: ADD you decode the names.
Big Up to my photographer Shahidi Mwandembo,owner wa OurVoice Blog.Pata habari motomoto na zenye uhakika kutoka http://www.ourvoicetz.blogspot.com/
Until then,maintain the casual look,Bye.
No comments:
Post a Comment