Friday, May 30, 2014

Tokelezea Hivi Na TrendyDecentMe! By Margareth Tarimo


          #ANKARA #VITENGE #AFRICANPRINTS #CHITENGE #TENGE #KENTE

Yeep!..Leo nimechezea kitenge chetu #3 kutoka kwenye collection ya vitambaa vilivyopo humu.Nimependa mpangilio wa kuanzia maua yenyewe na michoro ya kitambaa mpaka mshono jinsi nilivyopanga michoro na position ya maua.Utukufu kwa Mungu,I love this.

Sio siri,Ankara zipo poa sana,Ndio 'toy' nayopenda kuchezea mimi maana zina 'options' nyingi mno.Wabunifu wenzangu mnaelewa.Kaa mkao huo huo endelea kuchek humu.

Tokelezea namna hii na TrendyDecentMe!...Chicky & Classy!













Designed By Margareth Tarimo,dressed by TrendyDecentMe!..Kuona collection ya vitambaa iliyopo sasa,ingia kwenye page ya 'MY FABRICS' pembeni ya Home Page.

Nakushukuru sana Mungu,naomba uendelee kubariki kazi ya mikono yangu.

Ungependa kupendeza kihivi whatsup (+255) 712 484508

Until next time,maintain the chicky,classy look.......Bye.

Wednesday, May 28, 2014

Lete Kitenge Chako Unogeshwe Hivi Na Margareth Tarimo



               #ANKARA #AFRICANPRINTS #VITENGE #TENGE #CHITENGE #KENTE

 Leo nimenogesha kitenge chetu #19 na kikatokelezea kweli!....Beautiful!





Yes ni unaweza kupendeza na kitenge namna yoyote kwaTrendyDecentMe! By Margareth Tarimo


                      Muafrika kitenge bwana!





                   
Haka kabegi hakana kitu ndani,kakijaa vitu kanapendeza sana.

                               My design,my fashion,my passion.TrendyDecentMe! By Margareth Tarimo

Unataka kupendezeshwa hivi ?
Whatsup me  (+255) 712 484508

Until then,maintain the classy look kinyumbani nyumbani...Bye.



Sunday, May 25, 2014

Pendezesha Kitenge Chako Hivi Na TrendyDecentMe! By Margareth Tarimo


               #ANKARA #AFRICANPRINTS #VITENGE #CHITENGE #TENGE #KENTE

HE is an awesome God,I am humbled.Nawashukuru sana sana.

Kwa wadau wangu mnaoulizia hivi vitenge kama naviuza,jibu ni hapana siviuzi.Wewe njoo na kitenge chako ukipendacho,chagua mshono wowote njoo nao au chagua kutoka kwangu na utatoka nadhifu kabisa ON TIME.Kuna mishono mingi mno inakuja endelea kutembelea hapa na facebook page http://www.facebook.com/TrendydecentMe

Mshono wa leo umetoka katika kitenge chetu #1.Una haki ya kupendeza hivi,kuonekana nadhifu kiasi hiki kabisa.TrendyDecentMe! by Margareth Tarimo ndio anayeweza kukupendezesha kiasi hiki.

                           



                     Lete vitenge vyako vitendewe haki kihivi na zaidi!











Yes,ni TrendyDecentMe! by Margareth Tarimo ndiye anayependezesha kihivi.Mawasiliano yangu yote yapo hapo kulia,Karibu sana.

Big up kwa photographer wangu Shahidi Mwandembo uko vizuri ndio maana kazi zako zinatoka sana.Tupo pamoja mno.

Until then maintain the chicky,classy look.....bye

Friday, May 23, 2014

Pata ladha ya Vitenge Kwenye Viatu Vyako Na TrendyDecentMe!

                          #ANKARA #KITENGE #VITENGE #AFRICANPRINTS #KENTE

Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuwa na nguvu na afya njema.

Una viatu vyako vya zamani na vipo imara kabisa ila ngozi yake imechakaa?Vilete
TrendyDecentMe!....Vikitoka,utavisahau.

Hata kama ni vipya halafu ghafla havikuvutii tena,ungependa muonekano tofauti,vilete,vitashughulikiwa,utavipenda sana.

Nilikuwa na viatu vyangu nilivyovipenda sana miaka ya 2011/12 bahati mbaya nikatembelea kwenye maji vikaharibika vikawa hivi...



Kwa sababu nisiyoitambua vyema,sikuvitupa ila nilivitelekeza somewhere.Katika kupekuapekua wiki hii nikavikuta.Kisigino chake kilikuwa kizuri na soli ipo vyema na hivi ndivyo kilivyobadilika


                                      Wow!



Nina mpango wa kuvaa pamoja na ile pochi yetu ya mkononi iliyotoka kwenye kitenge #13

                         


                                My Designs,My Fashion,My Passion by Margareth Tarimo


Unaweza kupendeza namna hii na TrendyDecentMe!....Margareth Tarimo Designs.

Kuwasiliana zaidi,whatsup only (+255) 712 484508.Contact zote zipo hapo kulia.

Kaeni mkao wa kupendeza mnoo!

Until next time,maintain the chicky,class look.....bye.

Thursday, May 22, 2014

Ninakuwa Addicted Na Vitambaa



Leo nilipata muda wa kupita madukani kuchukua baadhi ya vitu nilivyopungukiwa kwenye kazi hii ya ubunifu mavazi na vitu vinginevyo.Katika pitapita yangu nikakutana na vitambaa hivi nashangaa mate yakaanza kunitoka.Like seriously vilikuwa vinanitoa mate kuvishona.Nikavishikashika mate yakawa yanazidi.Hee!nikataka kuvikimbia maana sikwenda haswa kwa lengo la kuvinunua lakini akili ikaniambia hata usiponunua leo utanunua siku moja na utapenda kuvishona.Nikaona isiwe tabu ngoja nichezee vitambaa tofauti tofauti maana kwangu vimekuwa kama toy na nina enjoy sana.

                                                               Kitenge #19

 Hiki kitenge ni cha zambarau sio blue.Isamehe camera yangu tumepiga picha usiku ikachanganya rangi zake yenyewe au ni mimi sijui kuiset usiku tusamehe mimi na camera bure.

Nilifikiria collection yangu yote ya vitambaa nikagundua sina zambarau hivyo nikakibeba baada ya kukipenda.


                                              Chiffon #1
Hii ni chiffon.Nilivyoiona tu nikapata picha fulani kichwani nikapenda nikachukua na nyenzake kama mbili zaidi.Ya baby yellow na peach.

                                      Chiffon #2

                                     Chiffon #3


                                 Satin #1


                                   Satin #2


Mh,Stoo yangu ya vitambaa ndio inayonipa bichwa la kununua more fabrics maana ina nafasi kwelikweli.Otherwise najua ningekuwa mpole.
                                  
Napenda sana vitambaa,napenda kubuni,napenda kushona mwenyewe,napenda kufanya vitu vingi vinavyohusiana na ubunifu.

Ni nini nitashona kutoka vitambaa hivi?

Stay tuned.

Until then,maintain the chicky,classy look.....bye.



Wednesday, May 21, 2014

Gauni Simple.Ratiba Imebana.


                      #ANKARA  #VITENGE  #KITENGE  #AFRICANPRINT #TENGE

Oo boy!Nilikuwa likizo ndio maana nilikuwa nina uwezo wa kuwawekea vitu vipya kila baada ya siku moja au mbili.Lakini sasa nimerudi kazini guess what?!Nitaendelea kuweka lakini nachokajeee?!

Nafanya kazi mchana,usiku nashona.Bado masaa mengine na familia yangu yani nikikokotoa masaa hapa nadhani yanabaki masaa matatu tu ya kulala kama sio mawili kati ya masaa 24.I know..Not healthy.

Lakini hii ni wiki ya kwanza tu ndio napata changamoto,kadri siku zitakavyozidi najua nitapata mbinu za ku-balance vizuri.Mungu yupo upande wangu,atanisaidia.

Hii nguo imetoka katika kitenge chetu #2.Nilitaka kuiweka mikono,lakini kwa sababu ya kukosa muda na kushona usiku haraka haraka kukimbizana na deadline ya ratiba zangu,nikaishia kuiacha hivi na ndivyo ilivyo kwa sasa.Nikipata muda nitamalizia kuweka mikono.

                      Tabasamu langu limeenda wapi tena?
Ni sababu ya uchovu.Natumaini picha za weekend nitakuwa na ile 'cheerful' face yangu.Nimeimisi.Leo nitahakikisha ninalala si chini ya masaa 8.

Nimependa hiyo V color iliyosimama,sina uhakika kama unaiona vizuri...



Endelea kukaa mkao wa kupendeza,vitu vizuri vinakuja.Na hii nikiiweka mikono nitakurushia tena.
Guess nashona nini wakati ujao?...utapenda.seriously.

Until then,maintain the classy look......bye.

Sunday, May 18, 2014

Imekuwa Nguo Ya Bega Moja!


So,kile kitambaa chetu ambacho hakikuwa kitenge,nilichokiona nikakipenda cha jana,kimegeuka kuwa gauni la bega moja,safi kwa ajili ya shughuli za jioni kama umealikwa dinner n.k

Kukinogesha,nikatengeneza kapochi kadogo kwa mtindo 'soft' ambako kanaweza kuhifadhi vitu vidogo dogo kama simu,kadi,kitambaa cha mkononi n.k

             Picha zimepigwa jioni sana maana kesho nina ratiba nyingi naweza kukosa muda wa kupiga picha


                     Nikatupia na koti maana kuna baridi fulani ya kimya kimya...

                      Kapochi nimekapenda haka!

                      

Mimi na kushona tena?!..Hata gunia,sandarusi likinikalia vibaya naweza kulishona.
Coming up next,narudi kwenye flavor zangu za Vitenge.Nashona nini?
Stay tuned...

Until then,maintain the classy,chicky look...Bye.
             

Saturday, May 17, 2014

Nipoje Bize?!..Vitu vizuri vinakuja.




Nimekuwa bize bize bize!Hii kazi inahitaji muda wangu sana na niko tayari kuipa kabisaa maana kwanza naipenda kutoka moyoni.Ninashona nguo zenu wateja wangu,ninashona nguo zangu za 'photoshooting',nashona mchana,nashona usiku.Kushona kushona kushona!..Mimi huyu huyu naenda shopping kutafuta materials.Naanza kufikiri kuajiri lakini ngoja...kuna quality fulani ya mishono nataka ambayo kwanza nishone mwenyewe labda nikizidiwa kupita kiasi ndio nitatangaza nafasi ya fundi.

Jana nikiwa katika mizunguko yangu madukani nikakutana na kitambaa kimoja ambacho siyo kitenge lakini kikanivutia na ghafla akili yangu ikanionyesha mshono wa kutumia kabla hata sijakinunua.Nikawa impressed kukichukua.

                               I wonder how this will turn out...

Sehemu yangu ya kazi


Najitahidi kuweka vitu mpangilio maana nisipoangalia kila mahali patajaa nyuzi,vitambaa,pini,masarasara ya mabaki ya vitambaa na vyote unavyovikutaga kwa mafundi nguo.


Nashona usiku.Mwanangu huyu kanizoeaje sasa?Nikiwa nyumbani ni kama kivuli changu.Wenzake aaah hawana shida.Labda kwa sababu ni pacha hivyo wanapeana kampani wenyewe.Kila Niendapo huyu yupo nyuma yangu.Hata nikishona usiku na yeye habanduki pembeni.Utasikia mama naomba nikae na wewe...niwekee katuni.Uzuri ni kwamba ilikuwa ni usiku wa ijumaa kuamkia jumamosi.Hatakiwi shuleni.Otherwise ingebidi nimkazie macho makubwa ili akalale kwa lazima.



Kaeni mkao wa kupendeza....Tailor in shift 15 hrs a day,6 days a week.Ndio 15/6..ndio yangu hiyo.Inaweza kubadilika pia..hehehe..

Until then,maintain the classy,chicky look....bye.

Thursday, May 15, 2014

Pata Muonekano Wa Hadhi Kutoka TrendyDecentMe!


             #Ankara  #Chitenge   #Tenge   #Kitenge #Vitenge  #African Prints #Kente

omg I am so grateful!..I am Speechless!
Nakushukuru sana Mungu kwa baraka zako na ninawashukuru sana wateja wangu Mungu awabariki mnoo kwa response mliyoonyesha.Mlio-press oda nimeshaanza kuzifanyia kazi naomba nikiwakabidhi mpige picha niwaone mlivyotokelezea na nyie..lol!

Wale mlioko Marekani na Uingereza kilio chenu nimekisikia pia,naendelea kujipanga nijue tunafanikishaje nyie kupendeza kihivi!

Leo nimewaletea muonekano mwingine mpya..Mliokwishaweka oda naomba msibadili mawazo..lol.!
Cha maana wewe njoo na kitenge kingine tu utengeneze hivi..Maana mimi huwa ninavikata vyote kwanza,nikianza kushona ni kushona mwanzo mwisho!..I love what I do..this is soo me!Ilikuwa damuni siku nyingi nikawa nafanya on and off.Lakini now its on for good.Stay Still...


                      #Kitenge                      #Vitenge



                      #African Prints













My Design,My Fashion,My Passion


I am going to invest more of my time in this!!

Kwa wale msiofahamu bado,ninatengeneza kwa oda.Mawasiliano yangu yote yapo kulia hapo.Unaweza ukani-WhatsUp Only @ (+255) 712 484508

Nashona nini wakati ujao?...utapenda...

Until then,maintain the classy,chicky look......